Naombeni ushauri mie, nimeaibika sijui nitauficha wapi uso wangu

Mtu wa hivyo hana madhara.Anajidanganya mwenyewe.
 
Mimi sio mgeni na members wa humu so sioni ajabu hata mkinitukana
 
Mimi baada ya kuwa mkubwa niliacha ujinga wa kuchepuka.Nampenda tu mke wangu.

Jana nimemnunulia zawadi ya wine pamoja na ua halafu usiku nikamvuta nikamlaza kwenye kifua changu.Alilala usingizi mzito sana.
Hakika, kuna blessings zinakuja automatic ukimpenda mkeo.
 
Sasa hiyo aibu kaka zaidi ya kuomba radhi tutashauri nn, Afu kwa nn umuchanganye shemeji yetu na videmu vya mchangani
 
Ukiskia kimeumana ndo Hii Sasa....

Una MKE smart Sana, anastahili pongezi[emoji1787]
Na wewe kama huyo boya tu. Ukitaka kutuma hela kabla ya kuandika neno la siri unaulizwa kama jina linalooneka ni sahihi? Acha unyumbu
 
kakwambia kaenda kuweka kwenye akaunti ya bank kaka sio kwenye ile namba ya mpesa au tigo pesa....soma vzr kaka usimhukumu tu
 
katuma kwenye akau t namba ya benk jaman mbona mnamhukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…