Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa hivyo hana madhara.Anajidanganya mwenyewe.Punguza sukari kwenye hiyo chai.
1- "Leo ni siku ya tatu bado nimesimama nje". Kitu ambacho ni uongo wa kiwango cha Lami inamaana hua haulali siku zote hizo?
2,3,4,5,...- eti unakurupuka kutuma je, kama ni utapeli na je hukukalili hata namba pindi unapiga kua hiyo si yake? Yaani hujui kutofautisha namba ya mke na mchepuko.
Mengi umetupiga kamba.
Leo ni siku ya tatu bado nimesimama nje.
Naaam. TATEPAAAAAAA
Hakika, kuna blessings zinakuja automatic ukimpenda mkeo.Mimi baada ya kuwa mkubwa niliacha ujinga wa kuchepuka.Nampenda tu mke wangu.
Jana nimemnunulia zawadi ya wine pamoja na ua halafu usiku nikamvuta nikamlaza kwenye kifua changu.Alilala usingizi mzito sana.
Kwani ukichepuka ndy unakuwa humpendi mkeo?Hakika, kuna blessings zinakuja automatic ukimpenda mkeo.
Siku za mwizi ni arobaini mkuuSasa hiyo aibu kaka zaidi ya kuomba radhi tutashauri nn, Afu kwa nn umuchanganye shemeji yetu na videmu vya mchangani
Na wewe kama huyo boya tu. Ukitaka kutuma hela kabla ya kuandika neno la siri unaulizwa kama jina linalooneka ni sahihi? Acha unyumbuUkiskia kimeumana ndo Hii Sasa....
Una MKE smart Sana, anastahili pongezi[emoji1787]
Hajui kusoma labdaAcha fix jina la mkeo hukuliona kwenye muamala?
kakwambia kaenda kuweka kwenye akaunti ya bank kaka sio kwenye ile namba ya mpesa au tigo pesa....soma vzr kaka usimhukumu tuMkuu huon kwamba hiyi stori umeikopi sehemu?
Je ni mwanaume Boga kiasi gani atatuma pesa bila kuhakiki namba?
Ni uchiz kias gani mpaka jina la mkeo na mchepuko kushinda kutofautisha kwenye hizo mpesa
Maswali ni mengi ila[emoji116][emoji116]View attachment 2032509
Sent from 2 using JamiiForums mobile app
Uhuni