Naombeni ushauri mimi mdogo wenu /mwanenu/ rafiki yenu nifanye biashara gani itakayonitoa kimaisha

Naombeni ushauri mimi mdogo wenu /mwanenu/ rafiki yenu nifanye biashara gani itakayonitoa kimaisha

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
Nakuja kwenu ndugu jamaa na marafiki mimi ni kijana wa miaka 19 naelekea 20, Mungu akijaalia
nimemaliza form miaka 12 iloyopita.

Katika ishu za kutafuta nikawa najifunza ufundi umeme wa majumbani na Mungu si Athumani nimefanikiwa naujua umeme na kazi napata huku nazidi kujifunza zaidi.

Lengo la uzi huu ni kuwaomba mnipe idea au mawazo kuhusu biashara ya kufanya sababu hela yangu inaishia kwenye kununua nguo KUBET na mambo mengne na nawaza nitoke home nikapange ghetto langu mwenyewe.

Kwa hiyo nawaomba mnipe mawazo yenu najua humu kuna waliofanikiwa kupitia biashara mbali mbali kama ni mtaji mi nikijitahidi sana ni wa laki na 30 naweza kuwa nao

NAOMBENI MAWAZO YENU NA IMANI YATANIJENGA NA HATA ATAEKENIKEJELI ATANIFANYA NIZIDI KUKOMAA PIA
[HASHTAG]#WENUUTIIFU[/HASHTAG]
[HASHTAG]#nimimimdogowenu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#YUNGTempEr[/HASHTAG]
 
Sasa unaomba ujue biashara ipi.. huku matatizo uliyonayo hayo ndio muhimu uyaondoe kwanza au?
 
Kwanza acha kununua nguo bila ulazima na kubet.

Pili hifadhi hizo fedha unazopata wakati unawaza namna zuri ya kuzitumia.

Kama hutafanya hayo hata tukikesha tunatoa ushauri haitasaidia
 
Nakuja kwenu ndugu jamaa na marafiki mimi ni kijana wa miaka 19 naelekea 20, Mungu akijaalia
nimemaliza form miaka 12 iloyopita.

Katika ishu za kutafuta nikawa najifunza ufundi umeme wa majumbani na Mungu si Athumani nimefanikiwa naujua umeme na kazi napata huku nazidi kujifunza zaidi.

Lengo la uzi huu ni kuwaomba mnipe idea au mawazo kuhusu biashara ya kufanya sababu hela yangu inaishia kwenye kununua nguo KUBET na mambo mengne na nawaza nitoke home nikapange ghetto langu mwenyewe.

Kwa hiyo nawaomba mnipe mawazo yenu najua humu kuna waliofanikiwa kupitia biashara mbali mbali kama ni mtaji mi nikijitahidi sana ni wa laki na 30 naweza kuwa nao

NAOMBENI MAWAZO YENU NA IMANI YATANIJENGA NA HATA ATAEKENIKEJELI ATANIFANYA NIZIDI KUKOMAA PIA
[HASHTAG]#WENUUTIIFU[/HASHTAG]
[HASHTAG]#nimimimdogowenu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#YUNGTempEr[/HASHTAG]
Kubet janga linalokumba asilmia kubwa ya vijana apa tz,,,,,,,
 
huu ni wakati wa kusahau videmu na pamba hautofanya lolote utakuwa mtu wamipango kila siku ebu angalia kwa mtaji huo wa 150k kama utautumia kwa pamba tu
jeans 25
Tshirt 25
Laba 50
jumla 100 hapo bado na demu wako atataka pesa ya kusukia bado haujabeti hamna kinachobakia maisha sio mchezo
 
Katika umri wako hope utakua na malengo mengi na makubwa kutokana bado hujajua maisha yalivyo

Ninacho kusihi epuka kuweka malengo amabayo hutoweza kuyafikia

Balance drems ili upate vibes yakufikia malengo

Kwenye maisha kila kitu kinaitaji good drems so nazani umenielewa

Enjoy your time life is short
 
Back
Top Bottom