Naombeni ushauri mimi mdogo wenu /mwanenu/ rafiki yenu nifanye biashara gani itakayonitoa kimaisha

Naombeni ushauri mimi mdogo wenu /mwanenu/ rafiki yenu nifanye biashara gani itakayonitoa kimaisha

huu ni wakati wa kusahau videmu na pamba hautofanya lolote utakuwa mtu wamipango kila siku ebu angalia kwa mtaji huo wa 150k kama utautumia kwa pamba tu
jeans 25
Tshirt 25
Laba 50
jumla 100 hapo bado na demu wako atataka pesa ya kusukia bado haujabeti hamna kinachobakia maisha sio mchezo
asante mkuu kwa ushauri wake [emoji120] [emoji120]
 
Katika umri wako hope utakua na malengo mengi na makubwa kutokana bado hujajua maisha yalivyo

Ninacho kusihi epuka kuweka malengo amabayo hutoweza kuyafikia

Balance drems ili upate vibes yakufikia malengo


Kwenye maisha kila kitu kinaitaji good drems so nazani umenielewa


Enjoy your time life is short
asante sana ubarikiwe ndugu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom