fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
- Thread starter
-
- #21
ni mistake kwwny kuandka n miaka 2 ilopita mkuuMiaka 19 kuelekea 20 alafu ulimaliza form ngap miaka 12 iliyopita? Kweli hii?.tuwe realistic katika nyuzi zetu.JF imekuwa ya ma con artist.
miaka 2 ni makosa ya kiuandishi tuHata mi nmeshindwa kuelewa hapo hata ushauri niliotaka kutoa nmebaki nao, mana sio kwa kamba hizi!
asante mkuu kwa ushauri wake [emoji120] [emoji120]huu ni wakati wa kusahau videmu na pamba hautofanya lolote utakuwa mtu wamipango kila siku ebu angalia kwa mtaji huo wa 150k kama utautumia kwa pamba tu
jeans 25
Tshirt 25
Laba 50
jumla 100 hapo bado na demu wako atataka pesa ya kusukia bado haujabeti hamna kinachobakia maisha sio mchezo
asante sana ubarikiwe ndugu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Katika umri wako hope utakua na malengo mengi na makubwa kutokana bado hujajua maisha yalivyo
Ninacho kusihi epuka kuweka malengo amabayo hutoweza kuyafikia
Balance drems ili upate vibes yakufikia malengo
Kwenye maisha kila kitu kinaitaji good drems so nazani umenielewa
Enjoy your time life is short
sawa nimekuelewaAcha kubeti kwanza.