Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Piga chini hiyo pimbi jiweke mbali nae kabisa walaa usimtumie msg na kumpigia simu tena jikeep busy ili umsahau huyo boya.MOVE ON
 
Hiki ndo kipindi cha kukutoa katika ujana kuingia utu uzima jikaze uje uwe balozi wa vijana miaka ijayo. Maumivu unayoyapata ni tiba tosha itafika kipindi utashangaa kuwa kwa nini uliumia kwa mtu ambaye hakuwa sahihi kwako. Huwa nawonea huruma sana vijana wanaopitia wakati kama wako wanahitaji ushauri wa kisaikolojia maana tayari hapo unasumbuliwa na ugonjwa wa upweke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini hiyo pimbi jiweke mbali nae kabisa walaa usimtumie msg na kumpigia simu tena jikeep busy ili umsahau huyo boya.MOVE ON

Huku ni sahihi kupata ushauri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiki ndo kipindi cha kukutoa katika ujana kuingia utu uzima jikaze uje uwe balozi wa vijana miaka ijayo. Maumivu unayoyapata ni tiba tosha itafika kipindi utashangaa kuwa kwa nini uliumia kwa mtu ambaye hakuwa sahihi kwako. Huwa nawonea huruma sana vijana wanaopitia wakati kama wako wanahitaji ushauri wa kisaikolojia maana tayari hapo unasumbuliwa na ugonjwa wa upweke.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huku ni sehem sahihi kupata ushaur

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili

Kwa sababu nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazazi hata mmoja zaidi sana anajua geto kwangu hivi majuzi tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikiosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! ,

Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sasa anauza duka la mtu na mimi ninafundisha ! nimemuomba aje auze duka langu hataki juzi aliniambia nataka kwenda kanisani kwenye mkesha ila kwa sababu ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto..

Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! mimi nikamwambia kawadanganye watoto! jana amechange kabsa anasema tuna mapenzi ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hataki nimempgia simu usiku kucha hapokei.

Leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! na simu ya mtu mwngine hapokei! naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakati nampenda sana na nilimpromis mwezi wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yake ni mbovu anaogopa kuomba kazi kwa sababa ya matokeo yake! nishaurini wapendwa maana nimepigwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ingawa unampenda...kwa mazingira yanavyoonyesha ni vyema ukakaza moyo ukaachana nae, kama ni wa kwako atajirudi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauriwe nn sasa labda hapo siamesha kublock bhac na ww mdelete ngoma droo iyo
 
Back
Top Bottom