Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Asante kaka lakn nampenda sana sana!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Utoto na utaahira vimekujaa sana, ukikua utagundua ya kuwa vocabulary ya "nampenda sana siwezi kumuacha" hai'exist katika maisha halisi.
Instead of using your emotions kwenye maamuzi yako use your brain na hapo kila kitu kitakuwa rahisi.
 
Utoto na utaahira vimekujaa sana, ukikua utagundua ya kuwa vocabulary ya "nampenda sana siwezi kumuacha" hai'exist katika maisha halisi.
Instead of using your emotions kwenye maamuzi yako use your brain na hapo kila kitu kitakuwa rahisi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu Anakuona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usipokuwa makini atakuharibia maisha yako,wewe utapoteza chanel mwenzako akiishi maisha ya furaha na mtu mwingine;kwa ushauri achana naye.
 
Naomben mnishauri nilikuwa na mpenz nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate. Ila sas amebadilika sana ananiumiza sana akili! Kwa sabab nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazaz hata mmja zaid sana anajua geto kwangu! Hvi majuz tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sas anauza duka la mtu na mm ninafundisha ! Nimemuomba aje auze duka langu hatak! Juz aliniambia nataka kwenda kanisan kwenye mkesha ila kwa sabab ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto! Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! Mm nikamwambia kawadanganye watoto! Jana amechange kabsa anasema tuna mapenz ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hatak nimempgia simu usiku kucha hapokei leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! Na sim ya mtu mwngine hapokei! Naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakat nampenda sana na nilimpromis mwez wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yakre ni mbov anaogopa kuomba kazi kwa sabab ya matokeo yake! Nishaurin wapendwa maana nimepgwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unagongewa mkuu

#bamia_ndefunene
 
Back
Top Bottom