Naombeni ushauri: "Mpenzi wangu anajikolea"!

Nahisi hata yeye ni kikojozi tu

Wasamehe wadogo zako wewe.......

Ila msipowashauri watajikuta wanafanya kama ule mchezo wa kumtupia nyani jiwe yeye akakurushia ndizi....

Mambo megine hadi yanasikitisha kwani kwenye miti mara nyingi kunakuwa na uhaba wa mafundi aisee.. Kuna vitu ukivipata unapiga kelele kimya kimya na kuruka ruka chumbani ukiwa umejifungia na kuhakikisha hata ndege aliye nje hakusikii wala hakuoni. They are very precious and rare!
 

huyo fadhaget kituko kweli doctor kanyoa kiduku na picha za mapozi kama modal
 
Last edited by a moderator:
Hawa vijana bwana, kulima hawajui na hata kujukuwa kuwa kwa jirani mavuno yako tayari hawajui...

Ni masikitiko makubwa kuuza almasi au dhahabu yako kwa mkompo, tena kwa sonara ambaye ni machinga!

babu weeee unafikiri ningekuwa siwez kulima angefanya hayo?? namlima hasa mpaka anapata kichaa cha mapenzi ohoooo!!!
 
Wanaume ni viumbe wa ajabu utaskia mara mkauuu nini, mara majiii kama nini hivi nyie mnapendaga nini? Huna aibu wengine wanaenda kwa waganga kuyatafta wewe unalalama? Toa ushamba wanawake wa hivyo ni unique

heeee luckyline watu wanaenda kwa waganga kuyatafuta??? sijaelewa hapo!
 
Last edited by a moderator:
promo at work....

tiba yake yaweza ikawa ipo ila itakuwa ya kienyeji tu
 
babu weeee unafikiri ningekuwa siwez kulima angefanya hayo?? namlima hasa mpaka anapata kichaa cha mapenzi ohoooo!!!

Sasa kwa nini unashangaa matunda ya kazi yako?
 



Comon sense tu hapo boss
Don't discriminate yeye...

Mademu wa siku hizi kuomba msamaha sahau sasa yeye ana apologize for a mere reason..

Kama anakupenda don't use that advantage and mistreat her......

Usiombe ushauri saaaana sometimes calm dowm meditate utapata majibu...

Umeshawahi kufanikiwa kwa ushauri wa aina hizo katika forum hii boss?

Anyway ukimuacha huyo utapata unachotafuta... usipende saana kuchokonoa unapoana loyalty boss....

All the best!
 
Wanawake wengi duniani wanatamani kukujoa hivyo wanashindwa halafu wewe unalalamika. Nitakutukana
 
ZaBeast nakushukuru sana kwa ushauri wako mzuri!
 
Last edited by a moderator:
Naona uzi umehamishiwa Muhimbili kabsa! asanteni!

sasa wataalamu wa JF Doctor karibuni kwa ushauri jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…