Naombeni ushauri: "Mpenzi wangu anajikolea"!

Naombeni ushauri: "Mpenzi wangu anajikolea"!

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
4,806
Reaction score
5,347
Heshima kwenu wataalamu wa jukwaa hili!

Baada ya salamu mimi ni kijana bado sijaoa, nina mpenzi na nimedumu naye about 2years now...ni mzuri wa sura, umbo na tabia!

Ni mwanaharakati mzuri sana, anajipenda na ananipenda pia! ni mtu anayependa mafanikio kwa ujumla! ni wife material for me!

Licha ya sifa zote hizo analo tatizo moja nalo ni "tunapokuwa kwenye "game" akifika kileleni huwa anapitiliza kwa utamu mpaka anakojoa na mkojo wa asubuhi kabsaa!

Baada ya game nikimuuliza kulikoni hivi huwa anajibu nisamehe mpenzi wangu umenifikisha mbali mpaka nimeshindwa kujizuia....nikimkazia huwa analia sana!

Naombeni ushauri wenu jamani huu ni ugonjwa au mautamu yakizidi basi ndio unakuwa nusu mfu??

Karibuni matabibu na wataalamu wa nyapu!
 
teamvibamia karibuni pia!
 
Mwenyewe Kashasema Kinacho Sababisha Akojoe Ila Bado Tu Hukumuelewa. Sasa Sijui Ni Kitu Gani Tena Unachokitaka Binadamu Wewe.
 
INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior
Insta USHAURI_mahusiano
 
Last edited by a moderator:
Unataka ushauri gani kwa mfano??
 
Jamani mimi naomba ushauri kwa wataalamu JE huu ni ugonjwa ama UTAMU TUU UMEMNOGEA???
 
Last edited by a moderator:
Ni mgonjwa sana na usirudie kufanya naye uasherati!
 
Jamani mimi naomba ushauri kwa wataalamu JE huu ni ugonjwa ama UTAMU TUU UMEMNOGEA???
chenjichenji Th Name rubii

Mwanzo kabisa ulikuwa sahihi ila ukaja kuzingua pale ulipoanza kukejeli wenye vibamia!.
Ungeishia pale mwanzo tu walau ingejulikana kuwa upo sirias!!!.
 
Last edited by a moderator:
Angekunya ndo ungetuwekea na picha kabisa... Mwenzio kasema ni mautamu siumuelewe??
 
Mleta mada ana utoto mwingi,katunga hiki kioja na kutuletea jukwaani.shame on you!
 
Angekunya ndo ungetuwekea na picha kabisa... Mwenzio kasema ni mautamu siumuelewe??

mkuu mbona vimichepuko vingine navigegeda kwa dizain ile ile lakini havikojoi mkojo wa asubuhi?? why always yeye??
 
Mleta mada ana utoto mwingi,katunga hiki kioja na kutuletea jukwaani.shame on you!

mkuu JIWEGANGI i'm serious! hii sio story ni tukio la kweli ambalo linaniweka njia panda kuhusu huyu dada!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom