Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Mwambie akutumie nauli, akishatuma kula halafu blockHabari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?
Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
Habari zenu wadau

hahaha sjaamka hata vibaya nimemjibu kutokana na alivyouliza halaf nilisahau kumuulizq umri wake piaDada umeamka vibaya? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Thanks for the laugh.
toa namba hiyo acha ushamba, mrembo wa kizungu kakuelewa, achana na haya meusi kama mkaa wapenda vitonga wa kibongo.Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?
Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
Wavulana siku hizi ni wengi kuliko wanaume
Kwa Dunia hii kirahisi hivo tu??Habari zenu wadau
Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.
Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?
Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wavulana siku hizi ni wengi kuliko wanaume
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama hauna Rasta usitume namba itakuwa ni scam[emoji23][emoji23][emoji23]