Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

Nimecheka kifala Sana u made my day very funny

Kwani wewe unataarifa gani haswa unazoogopa kumpa huyo mdada au nikupe zangu umpe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzungu ndo yule mwanamke wako asiyerekebishika au huyu ni mpya
 
Habari zenu wadau

Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.

Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?

Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
Mwambie akutumie nauli, akishatuma kula halafu block
 
Habari zenu wadau

Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.

Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?

Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?

Na ikitokea ukatapeliwa, basi usife moyo! Maana wanaume tumeumbwa mateso. Utajipanga tu upya.
 
Nakushauri mkuu na usisikilize ushauri wa yeyote hapa.. NENDA KAMBLOCK MKUU.. atakusababishia matatizo usiwasiliane nae tena achana naye
 
Habari zenu wadau

Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.

Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?

Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
toa namba hiyo acha ushamba, mrembo wa kizungu kakuelewa, achana na haya meusi kama mkaa wapenda vitonga wa kibongo.

Heri hata huyo mzungu atakuzalia watoto shombeshombe, watoto wazuri, sio haya mablack ya kike huku, sura kama wanaume afu wanajiita wanawake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan unaomba ushauri km umpe namba au usimpe!!!!!!!!Una shida ww[emoji119]
 
Habari zenu wadau

Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii.

Sasa tatizo Mimi nashindwa kumpa namba na taarifa zangu za msingi maana naogopa jamani kama wadau JF naomba ushauri nifanyaje nimpe au nisi mpe?

Kama ndio kwanini nakama jibu nisimpe kwanini?
Kwa Dunia hii kirahisi hivo tu??

Wewe ni fursa kwake, ataitumia vizuri kufikia malengo yake
 
Back
Top Bottom