Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

Natamani kufahamu umri wako mkuu ... pia wakati meingine jaribu kuuliza maswali ya msingi hilo ni swali la kitoto sana yani mtu anakuomba namba then unakuja kutuomba ushauri hapa ivi upo serious kweli ...
 
Anataka figo yako huyo kuwa makini usije sema sikukuonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…