agwambo halisi
Member
- Jan 22, 2014
- 42
- 2
Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri amepata nafasi ya URATIBU ELIMU KATA, kwa sasa ni mwalimu wa sekondari anauliza je kazi iyo inalipa, na vp kuhusu mshahara wake, nikaona nililete kwa wadau kabla sijamjibu, mwenye kujua kazi na maslai yao tujuzane