KAPINGA LAZARO
Member
- Jul 23, 2015
- 48
- 12
Ninapesa za kikodi ekari tàno za ardhi bonde la ruvu darajani. Natàka nilimematikiti maji aina ya F1 Asali. Sasa mtaji wa kuendeshea mradi ni tatizo . Nàsikià kuna bank zinatoa mikopo midogo2 ikiwemo ya kilimo hususani TIB nà posta bank. Je kuna mtu anafahàmu dondoo zozote kuhusu hili? Au kama kuna mtu anafahamu sehemu nyingine ñinakoweza kupata pesà naombà anijuze na màsharti yake pià