Naombeni ushauri nà msaada

Naombeni ushauri nà msaada

Joined
Jul 23, 2015
Posts
48
Reaction score
12
Ninapesa za kikodi ekari tàno za ardhi bonde la ruvu darajani. Natàka nilimematikiti maji aina ya F1 Asali. Sasa mtaji wa kuendeshea mradi ni tatizo . Nàsikià kuna bank zinatoa mikopo midogo2 ikiwemo ya kilimo hususani TIB nà posta bank. Je kuna mtu anafahàmu dondoo zozote kuhusu hili? Au kama kuna mtu anafahamu sehemu nyingine ñinakoweza kupata pesà naombà anijuze na màsharti yake pià
 
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=217213
 
Ninapesa za kikodi ekari tàno za ardhi bonde la ruvu darajani. Natàka nilimematikiti maji aina ya F1 Asali. Sasa mtaji wa kuendeshea mradi ni tatizo . Nàsikià kuna bank zinatoa mikopo midogo2 ikiwemo ya kilimo hususani TIB nà posta bank. Je kuna mtu anafahàmu dondoo zozote kuhusu hili? Au kama kuna mtu anafahamu sehemu nyingine ñinakoweza kupata pesà naombà anijuze na màsharti yake pià

Heeeee!!!!!! Lazaro my kwa mkopo wa kilimo wajaribu CRDB ila hizi bank nyingine wanatoa zaidi mikopo ya biashara, naamini hapo ulipo CRDB ipo. jambo jema sana umewaza. msalimie mwanetu B.
 
Back
Top Bottom