Naombeni ushauri nahisi kuchanganyikiwa

Rudi kijijini kaanze hujachelewa. Jembe halimtupi mtu.
 
Rudisha mpira kwa goli kipa uanze upya mbonq umri wako bado mdogo Sana

Sasa si mjini umepata knowledge tayari?Rudi kijijini kalime ..ukija tena mjini uaanzisha gereji yako...
Tena utakuwa unalimisha .. kijijini unaenda wakati wa mavuno...
Wakati wa kusubiri mvua uko mjini na gereji yako
Wazo zuri sana. Rudi kasnze upya kilimo ulichozoea utatoka tu na mengine yatajiset mjini.
 
Kwani unashindwa rudi kijijini ambapo mtaji wako ulikuwa kilimo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…