Naombeni ushauri nataka kufungua duka la vyakula vya mifugo

kunako

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
44
Reaction score
18
Habarini za mchana wana janvi nina mipango ya kufungua duka la vyakula vya mifugo , naombeni ushauri na hata maboresho na nini nifanye kabla na baada ya kufungua duka hilo kwa wale ambao walishafanya au wataalamu wa biashara.

Nawasilisha ndugu zanguni karibu kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…