Habarini za mchana wana janvi nina mipango ya kufungua duka la vyakula vya mifugo , naombeni ushauri na hata maboresho na nini nifanye kabla na baada ya kufungua duka hilo kwa wale ambao walishafanya au wataalamu wa biashara.
Nawasilisha ndugu zanguni karibu kuchangia
Nawasilisha ndugu zanguni karibu kuchangia