Naombeni ushauri nataka kuwekeza kwenye saluni ya kunyoa

Naombeni ushauri nataka kuwekeza kwenye saluni ya kunyoa

Joined
Dec 13, 2023
Posts
67
Reaction score
238
Wakuu kwema
Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei.

Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua .
Naombeni ushauri pia kama mna idea nyingine.
Asanteni.
 
Nadhani itakuwa ni hizi saloon za kawaida tu za mitaani zenye picha za Rambo na Arnold ukutani. Na viti vya mbao vya kawaida
Na seat za kuzunguka zilichomelewa kwa fundi John+sponge iliyofumuka ,spirit inafutwa pia kwa sponge,kuweka black 1,000/....
 
Back
Top Bottom