The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 67
- 238
Nadhani itakuwa ni hizi saloon za kawaida tu za mitaani zenye picha za Rambo na Arnold ukutani. Na viti vya mbao vya kawaidaSalon ya mia tatu hamsini kei?
Ni chini ya mti au?
Inshort biashara kama haina system lazima utaibiwa hapo itahitaji uangalizi wako wa karibu au ufanye mwenyewe then ikisimama na angalau ikaanza kujiendesha unaweza tafuta msaidizibiashara ya saloon inalipa ukikaa mwenyew
Na seat za kuzunguka zilichomelewa kwa fundi John+sponge iliyofumuka ,spirit inafutwa pia kwa sponge,kuweka black 1,000/....Nadhani itakuwa ni hizi saloon za kawaida tu za mitaani zenye picha za Rambo na Arnold ukutani. Na viti vya mbao vya kawaida