Naombeni ushauri,nataka nikatwe mshahara uingie katika akaunti ya akiba

Oooh asante sana mkuu nimepata mwanga mwingine hapa.

Ila bora kuweka ya miezi sita sita mana miez 20 duuh cyo mchezo
 
Oooh asante sana mkuu nimepata mwanga mwingine hapa.

Ila bora kuweka ya miezi sita sita mana miez 20 duuh cyo mchezo
Mkuu ukisave unatakiwa usave muda mrefu ukipata emergency unaweza enda wakusaidie watavunja mkataba unapewa chako

Kingine unaweza fungua account afu ukaomba waweke option ambayo haigoruhusu acc Toa pesa mpaka siku utakayoamua unaenda bank unaomba wairuhusu iweze Toa pesa hivo kwa kipindi chote hicho utaweza weka tu na sio kutoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaaaa,poa poa mkuu nimekusoma vizuri sana.bora kusave mda mref ukipata ni pa maana unafanya jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…