Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Masharti ya Account yapo palepale. Pitia muongozo wa bank yako na account husika. Ila kwa huduma ya standing order hutatozwa kitu. Pia pesa unaweza toa muda wowote. Maana hiyo sio fixed Account
Yap mkuu hapa nimekupata vzuri na nia yangu nifungue hyo ambayo umeielezea kama standing order.sasa nataka kujua kwamba uwekaji wake ni wa mda maalum kwamba kama ni miezi kumi hutoi mpaka ipite hyo miezi?
Na jee vipi kuhusu kukata benki wenyewe hawakati ada ya kuweka pesa kwenye hyo account,yani mfano kila mwsho wa mwezi wakasema wakata 1000 katika akiba yangu,vipi hapo mkuu?