Naombeni ushauri nichukue gari aina gani kati ya Runx na Voltz

Naombeni ushauri nichukue gari aina gani kati ya Runx na Voltz

Nawasalimu wakuu,nimefanikiwa kujichanga na kupata kakiasi fulani,bado niko na sintofaham,nichukue ipi kati ya hizo mbili.

NB:NAHITAJ USHAURI WA NICHUKUE IPI KATI YA HIZO NA SIO MARA JENGA NYUMBA SIJUI FUNGUA BIASHARA.HOJA IWE GARI IPI.
RunX ziko chini sana kuna mitaa utapata tabu kupita chukua Voltz
 
Chukua Toyota Runx RSI.
Gari hii ni ya kibabe sana na pia ni sport car ya kisasa.

Utakuwa unakula sahani moja na Subaru.

IMG_6845.jpg


Mzigo huo una Turbo kabisa.
 
Back
Top Bottom