Naombeni ushauri nifanyaje

Naombeni ushauri nifanyaje

Denjo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
359
Reaction score
117
Habari zenu ndugu zangu.

Nina ndugu yangu alimaliza form6 miaka ya nyuma kwa bahati mbaya alipata principle pass moja akakata tamaa akaamua kuapply diploma chuo kimoja kamaliza mwaka huu ila amekamatika somo moja kapata supplementary na kulirudia mpaka mwakani na hana kazi inayomuingizia kipato ila ndioo kanifuata kuniomba msaada wa mawazo nimshurii nini.

Japo kwa upande wangu ninataka nimwambie arudie mtian wa kidato cha 6 apate principle ziwe juu ya 2 ili ajiunge na bachelor kwa mwaka ujao nia bado anayo naomben attention yenu ,asanteni.
 
habari zenu ndugu zangu wa humu ndani nina ndugu yangu almaliza form6 miaka ya nyuma kwa bahati mbaya alipata principle pass moja akukata tamaa aka apply diploma chuo kimoja kamaliza mwaka huu ila amekamatika somo moja kapata supplementary na kulirudia mpaka mwakani na hana kazi inayomuingizia kipato ila ndioo kanifuata kuniomba msaada wa mawazo nimshurii nini japo kwa upande wangu ninataka nimwambie arudie na mtian wa kidato cha 6 apate principle ziwe juu ya 2 ili ajiunge na bachelor kwa mwaka ujao nia bado anayo naomben attention yenu ,asanteni.
sijaelewa amepata sup au ameretake anyway ushauri wangu arudie somo apate diploma yake na mengine yatafuata asiwe na haraka
 
Awe mkweli. Hizi bahati mbaya za kufeli zinazidi. Ni vizuri kujua uwezo wa akili yako unafika wapi. Kama six kadunda. Kadiploma kanasap. Bachela ya nini? Labda kama kuna uzembe amefanya. Lakini kama alisoma serious na matokeo ndo hayo basi elewa uwezo unafikia mwisho. Aende plan B. Kama sio mambo ya darasani ana uwezo na kupenda kufanya nini? Ongea nae kwanza.
 
pole sana ila mm nilipataga BSS mwaka 2012 PCM nikaanza diploma ya telecom engineering chuo kapuni but mwaka huu nilirudia paper ya kidato cha sita nkapata principal ya physics so nachagua nimalizie diploma 3rd year au niendelee degree, ni pm number yako nkupe misingi.
 
unajua form six wengi waliofeli hasa comb za science wako vizuri na wakienda diploma moyo wa kusoma unapungua sana, mimi mbona nilimaliza PCM nkapata BSS mwaka 2012 nilivoanza diploma nilikua mda mwingi mawazo mengi na nilikua napata marks za kawaida tu ila sijawah pata sup,
 
Back
Top Bottom