Mkuu umeibiwa...Pole.Naombeni ushauri wa nini cha kufanya kwa haraka ili nisipoteze hela ambazo nimezituma kwa a Company in Kenya nimefanya manunuzi ya simu. Katika makubaliano ilikuwa kwamba nilipe advance/deposit ya 50% cost ya simu ili waweze kuituma na nikishaipokea hapa Dar nitalipa balance 50%
Ok sawa, sio shida maadam nina mikono na afya nitapambana nitafute hela niliyoibiwa. Je kuna namna ya kufanya ili ku recover au kuzuia wengine wasiingie kwenye utapeli huu?Mkuu umeibiwa...Pole.
Ana hela ya mchezo huyo.Hapa uhakika umepigwa mia mia mkuu!
Kama wewe umeshindwa kuzuia kupigwa unadhani ndio utaweza zuia wengine wasipigwe. Kama walivyoweza kukurubuni wewe, na wenzio watarubuniwa hivyo hivyo.Ok sawa, sio shida maadam nina mikono na afya nitapambana nitafute hela niliyoibiwa. Je kuna namna ya kufanya ili ku recover au kuzuia wengine wasiingie kwenye utapeli huu?
Pole sana. Ukiendelea kuishi kwa kujipa moyo hivi, basi utayashinda majaribu mengi sana maishani mwako.Nitapambana hela itarudi tu. Nitawapa mrejesho. Siwezi poteza hela kirahisi hivo. Ila katika maisha inatokea. Chamsingi unainuka unakung'uta vumbi unasonga mbele
Sijasoma comments nyingine ila umeshapigwaNaombeni ushauri wa nini cha kufanya kwa haraka ili nisipoteze hela ambazo nimezituma kwa a Company in Kenya nimefanya manunuzi ya simu...
Wageni hamuishi mjini.Naombeni ushauri wa nini cha kufanya kwa haraka ili nisipoteze hela ambazo nimezituma kwa a Company in Kenya nimefanya manunuzi ya simu...
kuwakoga wana kuwa hii og imetoka Kenya. Shubamit. tena ukute njemba zipo bongo hii hii, zimekunja chao kirahisiπππππππUshapigwa!!,ungewai kuwapigia VODACOM waizuie pesa,hila ushachelewa, hiyo simu uliyonunua mtandaoni,je huku Tz hazipo au mbwembwe tu
Kupenda virahisiAisee mbona watu mnapigwa sana kirahisi ,kuna matapeli pia toka Zanzibar wanatumia hiyo hiyo njia kuuza simu hewa Bara