Naombeni ushauri: Niliacha chuo sasa nahitaji kurudi tena masomoni

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
3,280
Reaction score
3,789
Habari WanaJF.

Kwa kifupi Mimi niliacha chuo (nilikuwa nasoma Degree ya Eng flani) Sasa nilipatwa na matatizo nikaamua kuacha chuo yaani nilifanya Deregistration.

Sasa nahitaji kurudi chuoni tena naombeni ushauri wenu, Process zinakuwaje?, ni zilezile kupitia Tcu au zinabadilika? na vp kuhusu bodi ya mikopo maana nilikuwa na mkopo.

Nawasilisha.
 
wakati ukiacha chuo uliacha kwa utaratibu upi?ulichukua tu begi lako na kuondoka au ulifuta taratibu za kuandika barua?ni muda gani umepita toka uache chuo...
 
Niliandika Barua nikapeleka chuoni, Tcu na Bodi ya mikopo...

Nina mwaka mmoja nahitaji kurudi mwezi wa november mwaka huu....
 
Hiyo process uliyofanya sijui kama upo sahihi maana mtu anayeahirisha masomo huwa anafanya postponment na sio de-registration.......

kama ivyotupiga fix hapo juu......sasa sijui utuelezee hiyo barua yako ya de-registration uliiandikaje na kama ilipokelewa ukajibiwa majibu yalisemaje..........sio unakuja tu hapa kuomba msaada wa mawazo wakati upo less of details.......
 
Mwanachuo anayetaka majibu ya chuoni kwa wasiokuwa wanachuo....Naomba kujua ulipataje nafasi ya kusoma chuoni wakati ukisoma!
 
Jamani labda kapitiwa tu mwenzetu we're supposed to correct and advice him to what he want to us!
 
Habari WanaJF.

Kwa kifupi Mimi niliacha chuo (nilikuwa nasoma Degree ya Eng flani) Sasa nilipatwa na matatizo nikaamua kuacha chuo yaani nilifanya Deregistration.

Sasa nahitaji kurudi chuoni tena naombeni ushauri wenu, Process zinakuwaje?, ni zilezile kupitia Tcu au zinabadilika? na vp kuhusu bodi ya mikopo maana nilikuwa na mkopo.

Nawasilisha.

Unataka urudi ukamchangie Lowasa ili kumshawishi agombee urais?
 
Inawezekana ila kama ulikuwa na mkopo unatakiwa kwanza uende heslb ukatoe taarifa then ulipe 25% ya mkopo uliochukua then u restart again kuomba mkopo. Note: pia unatakiwa uombe tena kupitia tcu then ukipata chuo na mkopo pia utapata cz taratibu zao hizo.
 
Hiyo process uliyofanya sijui kama upo sahihi maana mtu anayeahirisha masomo huwa anafanya postponment na sio de-registration.......

kama ivyotupiga fix hapo juu......sasa sijui utuelezee hiyo barua yako ya de-registration uliiandikaje na kama ilipokelewa ukajibiwa majibu yalisemaje..........sio unakuja tu hapa kuomba msaada wa mawazo wakati upo less of details.......

C useme tu ulidisco mkuu?deregistration ndo upumbavu gani?

Jamani labda kapitiwa tu mwenzetu we're supposed to correct and advice him to what he want to us!

Inawezekana ila kama ulikuwa na mkopo unatakiwa kwanza uende heslb ukatoe taarifa then ulipe 25% ya mkopo uliochukua then u restart again kuomba mkopo. Note: pia unatakiwa uombe tena kupitia tcu then ukipata chuo na mkopo pia utapata cz taratibu zao hizo.

Dissssssssssssssssssssssssssssco

kama ulinunua sabufa na hela ya heslb… jiandae kuuza ili ulipe hela yaoo

Kikubwaa nikulipaaa 25% ivoo vinginee kawaidaaa

Daaah Sijui hata nianzie wapi kuwaeleza ila Kama mmeamua kuchkulia kimtazamo huo siwalaumu because hamjui real situation ilivyo,.......
 
Kikubwaa nikulipaaa 25% ivoo vinginee kawaidaaa

Mkuu 25% analipa aliyedisco au alieacha chuo?? coz mimi niliacha mwenyewe maksudi siku-disco tena niliandika barua ya kuacha sio ku-postpon kwa principal na akanijibu.......
 
Kakaaa hatamimii niliacha st joseph kilechuoo mbuzii arushaa nanipoo diploma ya afya niliondokaa bilahataa taarifaa hata ukiondokaa na taarifaa watasitisha tuu kwahiyoo kama unavyovigezo utapata mkopo frshii hata mimii niliaply degree tena ruaha university iringa nikapata mkopo asilimia nzurii tuu ilakozii badoo nikawaa siikubalii lakinii batch ilivyotokaa skuwepoo kwenye majina ya kusainii kwamwananguu andaa 25% yaa pesa uliotumiaa kwa miakaa uliosoma babaa uwapelekee mapemaaa watakudumbukiziaa hawanagaa shidaaa
 
Back
Top Bottom