Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
wakati ukiacha chuo uliacha kwa utaratibu upi?ulichukua tu begi lako na kuondoka au ulifuta taratibu za kuandika barua?ni muda gani umepita toka uache chuo...
C useme tu ulidisco mkuu?deregistration ndo upumbavu gani?
Habari WanaJF.
Kwa kifupi Mimi niliacha chuo (nilikuwa nasoma Degree ya Eng flani) Sasa nilipatwa na matatizo nikaamua kuacha chuo yaani nilifanya Deregistration.
Sasa nahitaji kurudi chuoni tena naombeni ushauri wenu, Process zinakuwaje?, ni zilezile kupitia Tcu au zinabadilika? na vp kuhusu bodi ya mikopo maana nilikuwa na mkopo.
Nawasilisha.
kama ulinunua sabufa na hela ya heslb jiandae kuuza ili ulipe hela yaoo
Hiyo process uliyofanya sijui kama upo sahihi maana mtu anayeahirisha masomo huwa anafanya postponment na sio de-registration.......
kama ivyotupiga fix hapo juu......sasa sijui utuelezee hiyo barua yako ya de-registration uliiandikaje na kama ilipokelewa ukajibiwa majibu yalisemaje..........sio unakuja tu hapa kuomba msaada wa mawazo wakati upo less of details.......
C useme tu ulidisco mkuu?deregistration ndo upumbavu gani?
Jamani labda kapitiwa tu mwenzetu we're supposed to correct and advice him to what he want to us!
Inawezekana ila kama ulikuwa na mkopo unatakiwa kwanza uende heslb ukatoe taarifa then ulipe 25% ya mkopo uliochukua then u restart again kuomba mkopo. Note: pia unatakiwa uombe tena kupitia tcu then ukipata chuo na mkopo pia utapata cz taratibu zao hizo.
Dissssssssssssssssssssssssssssco
kama ulinunua sabufa na hela ya heslb… jiandae kuuza ili ulipe hela yaoo
Kikubwaa nikulipaaa 25% ivoo vinginee kawaidaaa
Kikubwaa nikulipaaa 25% ivoo vinginee kawaidaaa
Mkuu 25% analipa aliyedisco au alieacha chuo?? coz mimi niliacha mwenyewe maksudi siku-disco tena niliandika barua ya kuacha sio ku-postpon kwa principal na akanijibu.......