hauzeeee45
Member
- Jul 3, 2024
- 23
- 71
Mambo wana JamiiForums,
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.
Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.
Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .
Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.