Naombeni Ushauri nimedisco chuo tangu mwaka wa pili na nyumbani wanajua naendelea na masomo na huu ndiyo mwaka wa mwisho

Naombeni Ushauri nimedisco chuo tangu mwaka wa pili na nyumbani wanajua naendelea na masomo na huu ndiyo mwaka wa mwisho

Ulifanya kosa la kwanza ila ukarudia tena kufanya kosa.

Ada waliyokutumia ya mwaka wa tatu ungeitumia kwenda chuo kingine then sasahivi ungewaface na kuwaambia hali halisi ili waendelee kukulipia ada ya miaka miwili iliyobaki.

Huna jinsi zaidi ya kuwaambia ukweli
Pole kwa kushindwa kujitambua..!
Yani hii njia kama angeomba msaada wakati amepatwa na tatizo ingekuwa njia bora kwake.

Yani hata chuo hicho hicho ange appy upya tena
 
Kuna ajira majeshi wametangaza nenda huko tumia cheti cha form four au six. Wakati wa graduation we utakua unapiga course CCP au Oljoro!

Kuna jamaaa alizingua six ila home hakuwaaambia wakati sisi tunaenda chuo na yeye akazuga anaenda chuo akawasiliana na watu akazama jeshini Kwa cheti cha form four
 
Haitaji D mbili kujua uyu ajitambui ndio maana kadisco umeona hapo anasema anatumiwa pesa na wazazi ina maana kazi yake yeye nikusoma tu, so kajimix kwenye ujinga either mapenzi au starehe over
Nimemwomba awajulishe wanajukwaa wawezekumshauri ipasavyo ila nasubiri mrejesho.
 
Nimeona mleta mada hajitambui ila kuna wanaoshauri hawajitambui zaidi sasa unamshauri avae joho feki, wakati ndugu na jamaa watataka kuhudhuria graduation ambapo ni rahisi kugundua kuwa hayupo kwenye graduates list
 
Kwakuwa hili suala la Wanafunzi kutapeli wazazi linazidi kuwa kubwa. TCU watengeneze Website ambayo Wazazi wanaweza kuitumia kutambua endapo mwanae yupo ON PROGRESS, GRADUATE, DICONTINUED, ON PT, CARRY, SUP nk ili kuondoa hili ombwe gumu la malezi. Wazazi hatutahitaji kuona taarifa nyiingi za huyo mtoto just kujua Learning status yake baasi. Kinachotakiwa ni Reg.Namba ya mwanafunzi then unasearch inaleta status baasi.

Naleta kama mzazi hii inshu imekuwa kero sana.

Hii itasaidia pia waaajiri wanaokumbana na wanafunzi feki wanaoghushi barua za field na kufanyakazi maeneo nyeti lkn kumbe siyo wanafunzi.
sawa kabisa ,harafu tuwe tunawauliza WAALIMu shule zakata zilizopo karibu yetu MWL gambe nimetumiwa meseji na chuo mwanangu ame discontinued ndo nn
 
Mambo wana JamiiForums
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Pole kwa yote unayopitia. Ni ukweli kwamba ulifanya kosa kwa kutojisajili upya chuo na kuwaambia wazazi wako mapema, lakini bado unaweza kurekebisha hili kosa lisijirudie.

Usisahau wewe si mtoto tena. Hivyo jipange vizuri na uwajulishe wazazi ukweli wa hali ilivyo, pamoja na ugumu wake. Zungumza na dada yako au mtu mwingine unayemuamini ili upate msaada.

Kisha, panga upya namna ya kurejea chuoni au kutafuta mbadala wa kielimu.

Jifunze kutokana na makosa haya ili kuepuka kurudia hali kama hii hapo baadaye.

Nakutakia kila la kheri.
 
bi harusi kakimbia siku ya harusi🤣🤣🤣.braza huo wako ni zaidi ya mtihani.
Ungekuwa mhehe ningekushauri kitu
 
Blazaaa unaruhusu vipi familia mpaka inajua unasoma miaka mingapi...??

Yaani wenzako huku ni ubaya ubwela....
Wakiuliza unasoma nn mi nataja general mambo ya afya..

Wakisema miaka mingapi najibu inategemea kuna miaka 4 au 5...

Kuhusu upo chuo au laah unawambia tuu nipo chuo wakitaka wakuje utawapokea..

Kuhusu graduu wambie wee hufanyi kwani lazima....

Ila kama wa kishua mtoto mayai mayai hii mbinu uiwezi maana mnalelewa sana nyie
 
Kama unaweza nichek DM nitakutengenezea ishu moja matata sana ambayo ukimuonesha huyo ambaye anawaza keki na dera
Hapana anaewaza joho ataturia mwenyewe ..
 
Kwa akili hizi kudisco ilikuwa ni lazima. sina ushauri. Litakalo kupata na likupate. Inaonekana unatoka familia inayojiweza ndio sababu una ujasiri wa kuendelea kula pesa unazowatapeli ndugu zako. Sina huruma nawe
 
Hao ndo wakukupa msaada, haijalishi umewatapeli kiasi gani ila waambie ukweli tu
 
Nikazani ata baada ya kudisco kuna mishe ata ulianza kufanya kumbe ukaendeleza bata na umalaya pimbi wewe..hapa ukute una uzunika mda wa chuo kuisha na sio home wata semaje
 
Mambo wana JamiiForums
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Nilikula ada ta Chuo mkuu...nilichojifunza haya mambo usiposema mapema bhc tatizo linazid kua kubwa kila cku
 
Nmesoma title

Waambie wakutumie ela za maandalizi ziwe mtaji
Usirud om ni vyema ukajitafuta
Ila unawez badl maisha yako bila ata iko cheti

Amua kuanza kutafuta kazi (local job)
Fanya savings ndan ya 3years (kwa siku kula 1500/- had 3000/-
Anza BIASHARA
Usirud nyumban hadi utapokuw stable kiuchumi

All the best 🤜
 
Kimbilia Ulaya kupitia Libya ukitokea Italy ukatafute maisha huko mkuu bongo umeshaharibu
 
Back
Top Bottom