The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Yani hii njia kama angeomba msaada wakati amepatwa na tatizo ingekuwa njia bora kwake.Ulifanya kosa la kwanza ila ukarudia tena kufanya kosa.
Ada waliyokutumia ya mwaka wa tatu ungeitumia kwenda chuo kingine then sasahivi ungewaface na kuwaambia hali halisi ili waendelee kukulipia ada ya miaka miwili iliyobaki.
Huna jinsi zaidi ya kuwaambia ukweli
Pole kwa kushindwa kujitambua..!
Yani hata chuo hicho hicho ange appy upya tena