Naombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia, nimejaribu kuacha nimeshndwa

Pombe kiongozi



Jombaa isiwe shida...'jitahidi' uwe unakunywa MAJI ya kutosha kila siku...

MAJI ni Dawa yanapunguza stimu/hamu ya pombe,sigara...

pia ujiandae na kukojoa kojoa
 
Nenda kwa daktari umuulize kama unaweza kuacha pombe ghafla au polepole. Ukipata jibu zingatia yafuatayo.
1. Achana na marafiki walevi. Usiwaambie kuwa huwataki bali tumia akili yako kutengana nao.
2. Tafuta marafiki wacha Mungu.
3 Tafuta kazi za kufanya muda wa ziada. Usiruhusu muda wa kutembelea bar.
4. Kila bar uite ni central na wewe jiite in muuaji wa Kibiti. Hutasogea bar maana mhalifu hasogelei kituo cha polisi.
NB: Jihadhari unaweza kukwepa pombe ukaangukia ulevi wa akina Dada/ kaka. Hudhuria ibada uepuke hayo
 
Naombeni ushauri nimekuwa mlevi kupindukia msaada wa mawazo nimejaribu kuacha nimeshindwa
kulcha ni rahisi saana mkuu!ngoja hela zikate tuone kama utaendelea kujiita mlevi
 
jitahid kupunguza kunywa mbili au tatu nenda bar tym za mwisho uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…