Naombeni ushauri nimewekewa milioni 500 na wazazi wangu

Qopy

Senior Member
Joined
Jul 2, 2024
Posts
110
Reaction score
290
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa maana alikuwa karibu sana na mzee wazazi wangu wote wamefariki.

Naombeni ushauri wa nn nikifanyie biashara ipi au wazo lolote lile
 
Amka uachane na hiyo ndoto, utavurugikiwa akili buree. M 500 kwanini usitafute mwanauchumi wa familia yenu akupe ushauri? Au huyo mwanasheria yeye anasemaje?
 
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa maana alikuwa karibu sana na mzee wazazi wangu wote wamefariki.

Naombeni ushauri wa nn nikifanyie biashara ipi au wazo lolote lile
Janga la ukosefu wa ajira kwa vijana linafanya vichwa vyao vinapasuka na stress wanaanza kuota mchana kweupe
 
Kama kweli kanunue bonds za Serikali ule kiulaini bila kufanya kazi.

Unaweza kupata zaidi ya Mil5 kwa mwezi na pesa yako ipo pale pale na kumbuka Serikali haifilisiki tofauti ukiiwekeza kwenye mabenki ya kibiashara.

Hongera sana mkuu na waombee sana wazazi wako.
 
Asante kiongozi nitafuatilia
 
Back
Top Bottom