Naombeni ushauri nimewekewa milioni 500 na wazazi wangu

Naombeni ushauri nimewekewa milioni 500 na wazazi wangu

Janga la ukosefu wa ajira kwa vijana linafanya vichwa vyao vinapasuka na stress wanaanza kuota mchana kweupe
Wakati sina ajira nimeomba kazi hamjanipa leo nina 500 bank naomba ushauri wenu mnasema stress kweli bongo nyoso
 
ni pm nikupe ishu ya maana kama ulichoandika hapa sio chai
 
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa maana alikuwa karibu sana na mzee wazazi wangu wote wamefariki.

Naombeni ushauri wa nn nikifanyie biashara ipi au wazo lolote lile
IMG_2434.jpeg
 
Alafu Mimi uliposema unataka kazi nilikuja PM nikakupa mchongo na pia niliomba namba yako nikutumie chochote lakini si hata ule uzi wa kutaka kupunguza uume nilikushauri vizuri na nikasema niko tayari hata kukufanyia operation Mimi mwenyewe ya kupunguza rafiki yangu ,sijui nikukute wapi kukupa ushauri ndugu yangu ?
 
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria...
Kijana acha puli na kuangalia pono. Amka asubuhi mapema kila siku na ujifunze kitu kipya kila siku. Kuna watu walikuwa na hili tatizo sasa wameshabadilika.

Punyeto inaharibu mfumo wako wa dopamine. Ukijifunza kitu chochote na uka- accomplish ndio utaweza kuingiza hela ndugu yangu.

Kama ni ufundi au taaluma yeyote. Ndani ya miezi mitatu au minne utakuwa umeyabadilisha maisha yako sana.
 
Nimekuambia sina hela nimeomba ushauri pamoja na mawazo biashara ya kufanya
 
Nimekuambia sina hela nimeomba ushauri pamoja na mawazo biashara ya kufanya
Mawazo ndio hayo jifunze kitu chochote anza na ufundi umeme, ufundi bomba na usukaji wa nondo. Kwa sasa niko nje lakini kuna vijana wanachukua 900000 kwa kazi ya wiki katika usukaji nondo na ufundi umeme. Na ni team ya watu watano. Wanapiga kazi vizuri na wana umoja wawili wana magari kabisa. Fursa zipoo kibao anza na chochote hauwezi kukuwa kwa haraka. Hatua ngumu ni kuanza ukishaanza unazoea.
 
Fanya biashara waliokua wanafanya wazaz wako mpka kupata iyo 500 ya kukupa
 
Kama kweli kanunue bonds za Serikali ule kiulaini bila kufanya kazi.

Unaweza kupata zaidi ya Mil5 kwa mwezi na pesa yako ipo pale pale na kumbuka Serikali haifilisiki tofauti ukiiwekeza kwenye mabenki ya kibiashara.

Hongera sana mkuu na waombee sana wazazi wUna

Unapoteza muda wako kulijibu kubwa jinga linaloleta utoto ?
 
Back
Top Bottom