Naombeni ushauri nina usingizi wa kila mara

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
jamani hili tatitozo langu linanisumbua huu mwaka wa nne sasa ninapatwa na usingizi ovyo ovyo hata nikiwa na zungumza na watu na nilivyo kua sec ndo muda wote ninalala darasani
 
Duh! Amakweli too much is harmfull!
Mimi nimeanzisha kathired huku nikilalamika sipati usingizi, weye walalamika unausingizi mwingi!
:focus:
Unaumri gani Mkuu?
 
Mkuu nadhani kichwa chako ndio chaleta usingizi, 'kichwa nazi'
 
uTAKUA UNAUGONJWA SUGU AMA WA MUDA MREFU UNAKUSUMBUA..BINAFSI NIKIWA NA MALARIA HUA NASINZIA SANA..CHEKI AFYA YAKO KAKA!
 
Duh! Amakweli too much is harmfull!
Mimi nimeanzisha kathired huku nikilalamika sipati usingizi, weye walalamika unausingizi mwingi!
:focus:
Unaumri gani Mkuu?

nina milongo 2 tu hili tatizo sio siri linanitia aibu yani mahali popote unanikamata tena mdomo wazi
 
uTAKUA UNAUGONJWA SUGU AMA WA MUDA MREFU UNAKUSUMBUA..BINAFSI NIKIWA NA MALARIA HUA NASINZIA SANA..CHEKI AFYA YAKO KAKA!

daa kama ni ugonjwa umesha ota mapembe maana hili tatizo la kama miaka 5 hv kwanza kinaanza kiungulia alafu ndo usingizi hasa mahali penye utulivu ndo linazidi
 
Kama upo Dodoma au Ruaha wasiliana na FARAJA CLINIC 0714749528 utapata ushauri mzuri sana
 
Ushauri jamani juu ya sudden heart attack ambayo hujitokeza kwa mgonjwa na kukosa nguvu ya kupumua kabisa na kuhangaika sana ilihali vipimo vinaonesha kua hana matatizo kwenye moyo ushauri ni muhim sana
 
hilo sio shambulio la ghafla la moyo bali ni presha ya kushuka embu jaribu kumpima presha itakua ipo chini sana dalili yake kama alikua amekaa chin na ghafla akainuka lazima moyo uende kasi na uangaike kuitafuta pumzi na kizunguzungu juu
 
Hebu nendeni hospitali asee hakuna ushauri utawafaa humu sababu mnahitaji vipimo!!!!!!!

Ingekuwa mmejikata na kisu kidoleni ungeelekezwa jinsi ya kutibu jeraha!!!!!
 
hilo sio shambulio la ghafla la moyo bali ni presha ya kushuka embu jaribu kumpima presha itakua ipo chini sana dalili yake kama alikua amekaa chin na ghafla akainuka lazima moyo uende kasi na uangaike kuitafuta pumzi na kizunguzungu juu

Kweli kinyozi hajinyoi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…