heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
jamani hili tatitozo langu linanisumbua huu mwaka wa nne sasa ninapatwa na usingizi ovyo ovyo hata nikiwa na zungumza na watu na nilivyo kua sec ndo muda wote ninalala darasani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani hili tatitozo langu linanisumbua huu mwaka wa nne sasa ninapatwa na usingizi ovyo ovyo hata nikiwa na zungumza na watu na nilivyo kua sec ndo muda wote ninalala darasani
Duh! Amakweli too much is harmfull!
Mimi nimeanzisha kathired huku nikilalamika sipati usingizi, weye walalamika unausingizi mwingi!
:focus:
Unaumri gani Mkuu?
uTAKUA UNAUGONJWA SUGU AMA WA MUDA MREFU UNAKUSUMBUA..BINAFSI NIKIWA NA MALARIA HUA NASINZIA SANA..CHEKI AFYA YAKO KAKA!
nina milongo 2 tu hili tatizo sio siri linanitia aibu yani mahali popote unanikamata tena mdomo wazi
Ushauri jamani juu ya sudden heart attack ambayo hujitokeza kwa mgonjwa na kukosa nguvu ya kupumua kabisa na kuhangaika sana ilihali vipimo vinaonesha kua hana matatizo kwenye moyo ushauri ni muhim sana
hilo sio shambulio la ghafla la moyo bali ni presha ya kushuka embu jaribu kumpima presha itakua ipo chini sana dalili yake kama alikua amekaa chin na ghafla akainuka lazima moyo uende kasi na uangaike kuitafuta pumzi na kizunguzungu juu
Kweli kinyozi hajinyoi!!!!!!!!!!!!!!!
Lakini ndio raha ya JF Doctor..Kila mtu anajua kitu..hehehe..
Lakini ndio raha ya JF Doctor..Kila mtu anajua kitu..hehehe..
sasa wote humu si ni ma doctor wasio na mipaka kinacho washangaza n kipiii?