huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokezaSmile dear, ebu sema ukweli......inakuwaje unamgwaya huyo mkaka? Na kwanini uendelee kwenda mgahawa uleule kila siku ilhali hutaki kukutana naye?
Kwanini unamuogopa huyo mkaka?huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza
akhaa mambo gani hayo ?
akhaa mambo gani hayo ?
khaaa nitatoa wapi hicho cheti?tafuta shahada ya vipimo vya ukimwi vya mtu alieathirika halaf weka juu ya meza ionekane, halaf wewe tambaa na bakuli yako ya supu bila wasiwasi. Huyo jamaa akiludi tena hapo kwenye mkahawa basi ujue na yeye ni mwathirika.
Ikishindikana hii nistue nikupe plan b