Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna shosti mwathirika? kama namna gani vipi kapige rushwa. Au ikishindikana nishtue nikuazimie cha ex wangukhaaa nitatoa wapi hicho cheti?
Inasaidia kupunguza munkari kabla ya kumfanyia breaking news.Kweli vinginevyo unajitesa, hujasema why unamuogopa mkaka.
Viungo vyao vya ujenzi wa binadamu vinaongeleshana, ila wao hawataki.itasaidia nini my dia.kweli nateseka
SALUTE, SALUTE, SALUTE...... hii ni funga kazi, ila inabidi Smile afanye hivi kama tu hataki kutoa hiyo nduruuu, lasivyo yeye agawe tu ili wawe wanakula pamojaTafuta shahada ya vipimo vya ukimwi vya mtu alieathirika halaf weka juu ya meza ionekane, halaf wewe tambaa na bakuli yako ya supu bila wasiwasi. Huyo jamaa akiludi tena hapo kwenye mkahawa basi ujue na yeye ni mwathirika.
Ikishindikana hii nistue nikupe plan B
Swahiba, hapo red ni word! maana isje ikawa Lawyer nimejipinda natoa ushauri faifu star kumbe smile anatetemeka kwa kulowa.SALUTE, SALUTE, SALUTE...... hii ni funga kazi, ila inabidi Smile afanye hivi kama tu hataki kutoa hiyo nduruuu, lasivyo yeye agawe tu ili wawe wanakula pamoja
Dah! umenipa bonge la exam manake huyu ex hata kukumbushia nae haiwezekani lakini poa acha nifanye mambo.niazime hicho cha ex wako
Jizoezeshe kupiga nae story hutamwogopa tena! Isijekuwa mkaka wa watu wala hana time na wewe, unajistukia tu...kweli sijui
Swahiba, hapo red ni word! maana isje ikawa Lawyer nimejipinda natoa ushauri faifu star kumbe smile anatetemeka kwa kulowa.
Labda na yeye anamwogopa smile lol!..pwenti lawyer, mie hapo naona kama jamaa naye anakata viuno tu, hii gemu wala isingefika extra time kabisa....
Sijui majamaa wengine wakoje aisee, sasa kutwa kuvizia timing ya dada ya chakula wakati angepiga tu front wheels
pwenti lawyer, mie hapo naona kama jamaa naye anakata viuno tu, hii gemu wala isingefika extra time kabisa....
Sijui majamaa wengine wakoje aisee, sasa kutwa kuvizia timing ya dada ya chakula wakati angepiga tu front wheels
hata mimi namshangaa bwana,katumwa nini?si ndio nashangaa smile anamuogopea nini? Yaani rijali zima inakuwaje? Inaanzaje anzaje? , watu wanakwenda hijja saudia wewe unakwenda hijja mkahawani kumuangalia smile amemaliza chapati ngapi? Nyambaaf zake. Hapa lawyer nimeongea kwa hasira sana