Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simpendi bwana nitapenda wangapi? mi nakupenda wewe
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear...Mambo ya ajabu sna utamwogopaje mtu hajasema lolote? Siku akikwambia anakupenda nadhani utakimbia!
iyo hapana. kila mwanaume ambae huwa napenda kuwa rafiki yake lazima aje atake tunda ,ukimyima uadui .nimeamua toka leo nitafanya appoitment na mashost wa hapa niende naoau kodisha mtu wa kujifanya 'boyfriend'
mnakla pamoja,story nyiingi....kama hamumuoni huyo mtu...
kiukweli mimi naogopa sana watu
mida ya tea nasubiria mida ambayo hamna watu wengi mahali ambapo huwa napata tea
lunch ivoivo naweza kukaa hadi saa tisa sijala ili tu wayu wapungue kabisa maana naogopa
sasa kuna mkaka mmoja kiukweli namuogopa sana wa ofsi ya jirani hapo
mara nyingi tunakutana kwenye huo mgahawa
tatizo ni hili yaani kila nikienda pamoja na nimechelewa nikiagiza tu chakula kikiwekwa mezani na yeye ndo anajitokeza
jamani hadi nakonda mwenzenu maana chakula hakipiti.
nikisema niwahi anakuja,nikichelewa anakuja sijui nifanyeje
iyo hapana. kila mwanaume ambae huwa napenda kuwa rafiki yake lazima aje atake tunda ,ukimyima uadui .nimeamua toka leo nitafanya appoitment na mashost wa hapa niende nao
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza
unavoona tukukutana hutoniomba mkuu?
Kuna bint nilisoma nae O-level Zanaki tulikuwa tukienda Tution kuna kaka wa Azania akiingia tu darasani bint hawezi hata kushika peni mikono inalowa jasho anatetemeka! Kila siku alikuwa anaomba daftari akaandike kwao tukimwambia ahame tution hataki.Yeah
mimi huwa naona mara nyingi sana wanawake wako type kama smile, type
kama hio wakisha kupenda hata kikombe cha chai kinatetemeka time
wanakunywa chai.
Mnajua kwanini, sababu wanapenda afu hawataki kusema wamependa....Mpe
tu green light kama umempenda nini kujidai unamuogopa, hata yeye
anaonyesha kisha kupenda.
teh utaniomba tu nina hakika
heri tuheshimiane tu huku huku,pia the way ulvo naweza kujisahau nikupe
tusitafutane uadui tubaki tu humuhumu
iyo hapana. kila mwanaume ambae huwa napenda kuwa rafiki yake lazima aje atake tunda ,ukimyima uadui .nimeamua toka leo nitafanya appoitment na mashost wa hapa niende nao
teh utaniomba tu nina hakika
heri tuheshimiane tu huku huku,pia the way ulvo naweza kujisahau nikupe
tusitafutane uadui tubaki tu humuhumu
Kwani unamlipia msosi wewe?????kiukweli mimi naogopa sana watu