Naombeni ushauri ninakufa njaa mwenzenu

hujala tu mpaka saa hizi??? kama ni siriaz hivyo acha kazi aisee, usikubali kabisa ntu unampenda kidogo tu halafu yeye anaukonga moyo wako kila wakati wa kula...:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
heee.
Kwanini wataka kunikwepa?
nilidhani wainjoi kampan yangu
Mida ya lunch hii,twende zetu.
OTIS
 
simpendi bwana nitapenda wangapi? mi nakupenda wewe

Sasa kama wanipenda mimi kwa nini unamuonea aibu huyo.Au unataka kutumia ile semi ya ndugu zangu Wamakonde ya :MIMI NAONA AIBU KUMNYIMA MTU KITU NINACHO ...EEEEH NI DHAMBI KHAAA
 
au kodisha mtu wa kujifanya 'boyfriend'
mnakla pamoja,story nyiingi....kama hamumuoni huyo mtu...
 
au kodisha mtu wa kujifanya 'boyfriend'
mnakla pamoja,story nyiingi....kama hamumuoni huyo mtu...
iyo hapana. kila mwanaume ambae huwa napenda kuwa rafiki yake lazima aje atake tunda ,ukimyima uadui .nimeamua toka leo nitafanya appoitment na mashost wa hapa niende nao
 
Beba ubwabwa kwenye maliboro kalie ofisini
 
iyo hapana. kila mwanaume ambae huwa napenda kuwa rafiki yake lazima aje atake tunda ,ukimyima uadui .nimeamua toka leo nitafanya appoitment na mashost wa hapa niende nao

inaonekana katika wanaume woote wanaokufahamu
ni mimi tu ambae sijaomba kula tunda,ajabu hii lol
 
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza

:hand::hand::hand::hand:
 
Kuna bint nilisoma nae O-level Zanaki tulikuwa tukienda Tution kuna kaka wa Azania akiingia tu darasani bint hawezi hata kushika peni mikono inalowa jasho anatetemeka! Kila siku alikuwa anaomba daftari akaandike kwao tukimwambia ahame tution hataki.
 
Pole smile we nenda ukale hata akija jiweke busy na plate yako wala usimuwaze kinachokutatiza unamuwaza jitaidi kumwona wa kawaida utamudu
 
teh utaniomba tu nina hakika
heri tuheshimiane tu huku huku,pia the way ulvo naweza kujisahau nikupe
tusitafutane uadui tubaki tu humuhumu

umewahi jisahau ukampa mtu???????
inakuwaje hiyo?
 
Kwann ufe njaa kwa ajili ya mtu kwani akijakula anakuongelesha unaogopa kama ulushawahi kumwibia we unakula kwa gharama yako naye ya kwake kwann wacha woga jiamini
 
iyo hapana. kila mwanaume ambae huwa napenda kuwa rafiki yake lazima aje atake tunda ,ukimyima uadui .nimeamua toka leo nitafanya appoitment na mashost wa hapa niende nao

unakosea. Mbona mimi had waleo cjataka 2nda? Ni mara ngap 2natoka na kuwasliana?
 
Kwani unamlipia msosi wewe?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…