Naombeni ushauri ninakufa njaa mwenzenu

teh utaniomba tu nina hakika
heri tuheshimiane tu huku huku,pia the way ulivo naweza kujisahau nikupe
tusitafutane uadui tubaki tu humuhumu
Isijekuwa huyo mkaka ameliona hilo, ndio maana anakuwa kama fisi na mkono wa binadamu. Anasubiri hiyo fursa uje "kujisahau" -lol!
Pole sana Smile! Hebu jaribu kutomwogopa na kuzoweana naye. Hatimae utakujagundua kuwa hana madhara kwa maisha ya mwanadamu.
 
unajiskiaje moyoni ukimuona?do you love your current caple?
 
its doesn't make sense yaani unamuogopa mtu bila ya sababu!
 
hizo mbona ni fair play tu, wanaume kama walimuua yesu, nini mke?
 
ha ha ha..aaaaaaaaaaaaaaaaaa, SMILE you are in love.. funguka tu.
 
Agizia chakula uletewe ofisini.
 
we sema tu unaomba ushauri umfungukie vipi as ni kama vile jamaa ana delay kukufungukia
 
Acha kujistukia wewe, ukija huwa hata sina time na wewe nina mke nyumbani.. So enjoy your lunch bana sio kila siku ukiniona unavibrate ka nokia jeneza..
 
Kweli nyie mmeshapendana sema kila mmoja wenu domo zege!!haiwezekani ukamchukia namna hiyo. We SMILE kwani hiyo mashine haijachanwa bado?aaaah mpeane ya moyoni mpigane pu*** tu ndio suluhisho la ww kukaa kwa amani kwenye huo mgahawa.ku** mwenzie mb**
 
Ushauri wa karne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…