Naombeni ushauri, nipike chakula gani mchana?

Jaribu Kupika Chakula chochote kile ambacho hujakila muda mrefu sana.

Kitakuletea hamu ya kula
 
Ndugu, nimewaza mpaka kichwa kinauma sijui nipike Chakula gani mchana Nile.

Naombeni msaada, shauri chochote bila kujali kitapatikanaje

Sent using Jamii Forums mobile app


Fanya hivi: Pika both pilau na biriyani pia jaribu kupika roast ya kuku wa kienyeji na mishikaki ya mbuzi na ndizi za kuchoma. Nipo njiani nakuja na nitakuletea togwa as zawaidi. Bila kusahau, tafadhali naomba anuani yako na namba yako ya simu. Najiandaa kuja sasa hivi.
 
mkuu leo mchana pia pika lambthytacyneclixious complicutidos with mayonnised salad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…