Naombeni ushauri nipo njia panda

Naombeni ushauri nipo njia panda

Ndoa ni makubaliano ya mwanamke na mwanaume KUISHI pamoja, naona wewe Bado haujakubaliana KUISHI na huyo mwanaume, Kuna taratibu za ndoa, ikiwemo mahari , Sasa umeishatolewa hadi mahari tayari wewe ni mke halali kabisa na ndoa hiyo ni ya kimila na inatambulika , Cha kukushauri mwambie huyo mwanaume afanyanye taratibu za kidini Ili mfunge ndoa ya kidini , ila kama ukisikiliza upande wa wazazi wako na ukarudi kwenu hata ningekuwa Mimi nakuacha mazima !
 
Back
Top Bottom