sensa ya watu na makazi ya 2012 wanawake wapo wengi kuliko sisi wanaume kwahiyo hiyo extra figure muwa watapewa na nani?Kutembea na mume wa mtu ni kujishusha daraja(class)
Yani unakuwa daraja la pili la wanawake ambapo hufai kuwa mke wa kwanza wa mtu
unastahili uwe mke wa pili coz tayari unaweza kuvumilia mwenzio akiwa na mkewe