Naombeni Ushauri: Utaratibu wa kuuza bidhaa Nje ya Nchi.

Asante Kwa madini
 

Una kilo za mzigo kiasi gani ?

kwa muongozo Tembelea Tanzania Trade Portal
 
Mzee wa copy and paste
 
Sawa,nitafanya hivyo. Lakini pia,hapa jf ndio natafutia mtu wa kati.

Nitaanza mdogo mdogo huku najifunza .
Unataka uvushie mpaka gani...kwa ushauri unaweza kufungua store mpakani Kama holili au namanga au isanenia Kama unaenda Kenya unashushia store wateja wanakuja kuchukua hapo...kwa uzoefu wangu mdogo wa export East Africa...mf mchele wengi wanafungu store mpakani...wanunuzi kutoka upande wapili wanapambana na kulipia vibali...wanafanya hivyo sio wajinga Kuna risk nyingi wanaepuka..mf...ukiexport asali to ke...inatakiwa uwe na kibali Cha kukusanya asali tz...update c&f ajent mzuri akufanyie kazi ya kuprocess Hari kuvuka na mzigo hapo mwenyegari anakusubiri na lazima uwe umeshatoa Oda kwa mnunuzi unaenda kumshushia mzigo..Sasa Kama ndio unaanza kwa Nini usitumie hio njia ya kuuza ukiwa store...anakuja kuchukua mwenyewe...malipo hufanyika baada ya mzigo wote kwenda maabara unaliza baada ya wiki 2... All in all ulichokuwa unaulizia NI vibali vya kuexport viungo nadhani NI leseni ya biashara alafu kibali Cha wizara ya kilimo ukiingia kwenye mfumo portal yao utaona gharama za kuexport ...mengine onana na clearing and fording agent..
 
Nashukuru. This is very Useful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…