Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Habari wakuu,
Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia milioni 8 na ana miezi 9 kwenye game, aliniambia nitafute mtaji then anipe connection ila toka nimwambie mtaji nishapata hanipi ushirikiano kabisa na simu hapokei kwa sasa.
Wateja nishatafuta nimewapata, ombi langu kama kuna mtu ashaifanya hii biashara anipe abc kuanzia issue za TRA na mengine, nawaza niende mwenyewe Zambia nikafanye research kwanza ila nikaona sio mbaya kuwashirikisha wanajukwaa naweza kupata ushauri wowote mzuri.