Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

Kwanza aliniambia niende mjini nikatafute wateja then aongee nao ila nisiwambie kama mzigo unatoka zambia niwadanganye hata mbeya au sehemu yoyote ile ili wasije kufata wenyewe zambia basi nikafanya hivyo nikaenda duka la kwanza nikajieleza jamaa kasema haina shida ila nimuoneshe sample ikabidi nimpigie jamaa akaniambia mpe simu nikampa wakaongea mteja akataka kutumiwa sample jamaa akamtumia through whatsapp basi mteja akavipenda akasema yupo tayari kuchukua 1000pcs kila week. Nikaenda kwenye duka la pili nikafanya hivyo hivyo mteja akasema atachukua 500pcs kila week basi jamaa akasema hao wateja wawili wanatosha kwa kuanzia mimi nikaondoka, ila toka siku hiyo nikimcheki chenga nyingi inaonekana kanizunguka wale wateja kachukua yeye.
😂😂😂.AMKA WEWE.
 
Achana na vitenge njoo tuuze matikiti
 
Attachments

  • 20240801_124130.jpg
    20240801_124130.jpg
    1.8 MB · Views: 7
  • 20240801_120548.jpg
    20240801_120548.jpg
    1.9 MB · Views: 8
  • 20240801_121327.jpg
    20240801_121327.jpg
    1.1 MB · Views: 8
Habari wakuu, nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka zambia, kuna jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa 1.5m mpaka sasa mtaji umefikia 8m na ana miezi 9 kwenye game, aliniambia nitafute mtaji then anipe connection ila toka nimwambie mtaji nishapata hanipi ushirikiano kabisa na simu hapokei kwa sasa. Wateja nishatafuta nimewapata, ombi langu kama kuna mtu ashaifanya hii biashara anipe abc kuanzia issue za tra na mengine, nawaza niende mwenyewe zambia nikafanye research kwanza ila nikaona sio mbaya kuwashirikisha wanajukwaa naweza kupata ushauri wowote mzuri. Mtanisamehe kwa uandishi m'bovu.Thanks in advance.
Nliwahi jaribu Fanya Ina faida ila Kila biashara inahitaji ustahimilivu mnoo.
Na vitenge kutoka zambia wanakagua mnoo tabu ndo ipo hapo .
 
Type muongozo mkuu
Niliagiza mzgo mara Moja tu toka hapo siku Fanya hio biashara, mzgo uligarimu Laki2 na nusu, toka Zambia nikausafirisha mpka kahama hapa ulipokelewa na jamaa yangu ambaye ni Mtu wa biashara ndogndgo zainadani,.

Baada ya week 2 mzgo ukawa umeisha na garama zangu za manunuzi na usafirishaji na kifaida kiaina.

Sababu iliyofanya nisiendlee na hii biashara, kwanza sijasettle shughuli zangu nyingi za mizunguko sikai eneo Moja, hapa nlifanya nikiwa Niko mbeya.

Pili Mtu nliemtumia kwenye biashara aliaghairi baada ya kusema Yuko bize mnoo.
 
Mzigo ulifata mwenyewe zambia mkuu
 
Kwanza aliniambia niende mjini nikatafute wateja then aongee nao ila nisiwambie kama mzigo unatoka zambia niwadanganye hata mbeya au sehemu yoyote ile ili wasije kufata wenyewe zambia basi nikafanya hivyo nikaenda duka la kwanza nikajieleza jamaa kasema haina shida ila nimuoneshe sample ikabidi nimpigie jamaa akaniambia mpe simu nikampa wakaongea mteja akataka kutumiwa sample jamaa akamtumia through whatsapp basi mteja akavipenda akasema yupo tayari kuchukua 1000pcs kila week. Nikaenda kwenye duka la pili nikafanya hivyo hivyo mteja akasema atachukua 500pcs kila week basi jamaa akasema hao wateja wawili wanatosha kwa kuanzia mimi nikaondoka, ila toka siku hiyo nikimcheki chenga nyingi inaonekana kanizunguka wale wateja kachukua yeye.
Alikutumia umtafutie wateja kiaina 😅
 
Back
Top Bottom