Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Nikuambie kitu humu ndani hakuna mfanyabiashara hawa waliowengi ni vibarua tu na bodaboda tuMkuu ngoja nijifunze roho mbaya na uchawi niingie kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuambie kitu humu ndani hakuna mfanyabiashara hawa waliowengi ni vibarua tu na bodaboda tuMkuu ngoja nijifunze roho mbaya na uchawi niingie kazini.
Kwanini unasema hivyo mkuu.Nikuambie kitu humu ndani hakuna mfanyabiashara hawa waliowengi ni vibarua tu na bodaboda tu
😀😀 wateja wako mkoa gani?Kwanza aliniambia niende mjini nikatafute wateja then aongee nao ila nisiwambie kama mzigo unatoka zambia niwadanganye hata mbeya au sehemu yoyote ile ili wasije kufata wenyewe zambia basi nikafanya hivyo nikaenda duka la kwanza nikajieleza jamaa kasema haina shida ila nimuoneshe sample ikabidi nimpigie jamaa akaniambia mpe simu nikampa wakaongea mteja akataka kutumiwa sample jamaa akamtumia through whatsapp basi mteja akavipenda akasema yupo tayari kuchukua 1000pcs kila week.
Nikaenda kwenye duka la pili nikafanya hivyo hivyo mteja akasema atachukua 500pcs kila week basi jamaa akasema hao wateja wawili wanatosha kwa kuanzia mimi nikaondoka, ila toka siku hiyo nikimcheki chenga nyingi inaonekana kanizunguka wale wateja kachukua yeye.

Sas kwanin watu wasilipe kodi wauze kwa amani?😀😀 wateja wako mkoa gani?
Huyo atakua amcekuzunguka kama ulimpa namba za wateja
Ila mkuu pisi elf 1000 si mchezo ata mtaji wake mnene
Sio 1.5M kama unavosema
Ila mkuu hivo vitenge ukifuata zambia kimagendo unacheza pata potea,watu wengi wamepotza mitaji
Maana ukidakwa mzigo wote wanachukua wale jamaa
Na ukisema ufanye kihali faida hakuna
Kwa sasa vitenge vya kushona a.k,a java au tereza au mwendokasi ni 6500 pisi moja
Ishu ni kuvusha mzigo
Wanatafuta profit marginkubwaSas kwanin watu wasilipe kodi wauze kwa amani?
Na siyo kila uzi lazma uweke hapaSio kila uzi lazima ucomment mkuu.
Wateja wapo mwanza mkuu, huku waliniambia watanunua kwa 8500 pc aisee kumbe faida ipo. Ilikua sio lazima nilete 1000pcs zote ningeanza na kidogo ila nilisema hivyo ili kuonesha ni jinsi gani vinahitajika.😀😀 wateja wako mkoa gani?
Huyo atakua amcekuzunguka kama ulimpa namba za wateja
Ila mkuu pisi elf 1000 si mchezo ata mtaji wake mnene
Sio 1.5M kama unavosema
Ila mkuu hivo vitenge ukifuata zambia kimagendo unacheza pata potea,watu wengi wamepotza mitaji
Maana ukidakwa mzigo wote wanachukua wale jamaa
Na ukisema ufanye kihali faida hakuna
Kwa sasa vitenge vya kushona a.k,a java au tereza au mwendokasi ni 6500 pisi moja
Ishu ni kuvusha mzigo
Nitakuja nijilipue hata na mzigo wa laki 5 nikikamatwa basi😁😀😀 wateja wako mkoa gani?
Huyo atakua amekuzunguka kama ulimpa namba za wateja
Ila mkuu pisi elf 1000 si mchezo ata mtaji wake mnene
Sio 1.5M kama unavosema
Ila mkuu hivo vitenge ukifuata zambia kimagendo unacheza pata potea,watu wengi wamepotza mitaji
Maana ukidakwa mzigo wote wanachukua wale jamaa
Na ukisema ufanye kihali faida hakuna
Kwa sasa vitenge vya kushona a.k,a java au tereza au mwendokasi ni 6500 pisi moja
Ishu ni kuvusha mzigo
1.5m na miezi tisa ana 8m nina shaka sana hapoHabari wakuu,
Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia milioni 8 na ana miezi 9 kwenye game, aliniambia nitafute mtaji then anipe connection ila toka nimwambie mtaji nishapata hanipi ushirikiano kabisa na simu hapokei kwa sasa.
Wateja nishatafuta nimewapata, ombi langu kama kuna mtu ashaifanya hii biashara anipe abc kuanzia issue za TRA na mengine, nawaza niende mwenyewe Zambia nikafanye research kwanza ila nikaona sio mbaya kuwashirikisha wanajukwaa naweza kupata ushauri wowote mzuri.
Kumbe jibu unalo mkuuKwanza aliniambia niende mjini nikatafute wateja then aongee nao ila nisiwambie kama mzigo unatoka zambia niwadanganye hata mbeya au sehemu yoyote ile ili wasije kufata wenyewe zambia basi nikafanya hivyo nikaenda duka la kwanza nikajieleza jamaa kasema haina shida ila nimuoneshe sample ikabidi nimpigie jamaa akaniambia mpe simu nikampa wakaongea mteja akataka kutumiwa sample jamaa akamtumia through whatsapp basi mteja akavipenda akasema yupo tayari kuchukua 1000pcs kila week.
Nikaenda kwenye duka la pili nikafanya hivyo hivyo mteja akasema atachukua 500pcs kila week basi jamaa akasema hao wateja wawili wanatosha kwa kuanzia mimi nikaondoka, ila toka siku hiyo nikimcheki chenga nyingi inaonekana kanizunguka wale wateja kachukua yeye.
[emoji3][emoji3] wateja wako mkoa gani?
Huyo atakua amcekuzunguka kama ulimpa namba za wateja
Ila mkuu pisi elf 1000 si mchezo ata mtaji wake mnene
Sio 1.5M kama unavosema
Ila mkuu hivo vitenge ukifuata zambia kimagendo unacheza pata potea,watu wengi wamepotza mitaji
Maana ukidakwa mzigo wote wanachukua wale jamaa
Na ukisema ufanye kihali faida hakuna
Kwa sasa vitenge vya kushona a.k,a java au tereza au mwendokasi ni 6500 pisi moja
Ishu ni kuvusha mzigo
85000 isingekulipa maana kuna gharama za usafiri labda angalu ten kwa bei ya jumlaWateja wapo mwanza mkuu, huku waliniambia watanunua kwa 8500 pc aisee kumbe faida ipo. Ilikua sio lazima nilete 1000pcs zote ningeanza na kidogo ila nilisema hivyo ili kuonesha ni jinsi gani vinahitajika.
Mkuu yaani maajabu yaani vinapita hapa hapa kwetu kutoka kwenye bandari ya dar es salaam ishu ni kwamba wao kodi ziko chiniHiyo 6,500 ni bei kwa upande wa Zambia? Wao wanavitoa wapi ama wanazalisha kwamba kuna viwanda huko?
Yenye faida kubwa saaana ushauriHabari wakuu,
Nataka kuanza kufanya hii biashara ya vitenge kutoka Zambia, kuna Jamaa anaifanya biashara hii aliniambia ina faida yeye alianza na mtaji wa milioni 1.5 mpaka sasa mtaji umefikia milioni 8 na ana miezi 9 kwenye game, aliniambia nitafute mtaji then anipe connection ila toka nimwambie mtaji nishapata hanipi ushirikiano kabisa na simu hapokei kwa sasa.
Wateja nishatafuta nimewapata, ombi langu kama kuna mtu ashaifanya hii biashara anipe abc kuanzia issue za TRA na mengine, nawaza niende mwenyewe Zambia nikafanye research kwanza ila nikaona sio mbaya kuwashirikisha wanajukwaa naweza kupata ushauri wowote mzuri.
Sawa mkuu, kumbe hata tunduma zipo sina haja ya kuingia zambia?Ni biasha
Yenye faida kubwa saaana ushauri
Anza na mtaji wa lski mbili njoo Tunduma (black) chukua mzigo hata pisi 15 hapo na usafili nk inawza fika Hadi laki mbili nanusu hivi ukifanikiwa kufikisha mjini unaeza uwa faida Hadi paxu kwa pasu some times
Tunduma upande wa zambiaSawa mkuu, kumbe hata tunduma zipo sina haja ya kuingia zambia?
Nimekupata mkuu ndio panaitwa nakonde sio, mwanzo nikijua mpaka niende lusaka. Mkuu hii issue lazima nitaijaribu one day.Tunduma upande wa zambia
Mtu anaposema zambia hamaanishi anaenda mbali na tunduma
Walio wengi mizigo wanafungia hapo Tunduma upande wa zambia
Ila angalizo tu ni kwamba usafirishaji wake ni kama unasafirisha bangi au cokein,kwa sababu ya kukwepa kodi
Nenra ka survey mkuuNimekupata mkuu ndio panaitwa nakonde sio, mwanzo nikijua mpaka niende lusaka. Mkuu hii issue lazima nitaijaribu one day.