Naombeni ushauri wa biashara

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wakuu habarini?naombeni ushauri wa kufanya biashara ya mahindi kutoka mbeya mpaka mwanza.
Ni hatua zipi za kiserikali natakiwa kuzifuata ili niweze kupata kibali cha biashara iyo.
Pia mwenye uzoefu wa usafiri naombeni mnisaidie gharama zinakuwaje .
Karibuni sana kwa mawazo yenu
 
Lengo lako uuze mahindi au uuze unga wa mahindi unaousaga mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…