Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
Mkuu unafikiri mswaki ndo unaweza kuwa tatizo kweliEpukeni pia kushea nae vitu vinavyotumika midomoni ili kuepusha maambukizi kwa wengine sababu haijajulikana kama ni bakteria au virus ndio chanzo,
Mazingira pia yanayomzunguka yawe safi na salama, mshauri abadili mswaki kama bado anatumia aliotoka nao Dar au tangu anunue huko bado anao tu,
Ameshatumia maji ya uvuguvugu matunda anakula iyo dawa ndo hajatumia ntajaribu mkuuPima makohozi
Apake vicks kifuani kabla hajalala
Ale matunda yenye viramin C kwa wingi
Aepuke kunywa maji ya baridi
kwa kiasi fulani YES.Mkuu unafkr mswaki ndo unaweza kuwa tatizo kweli
Anaepukaje kwa mfano?Aepuke kunywa maji ya baridi
Asante kwa ushauri nduguKikohozi huchukua mpaka wiki tatu ku clear
plus na lile vumbiiAnaepukaje kwa mfano?
Mbeya maji ya bombani ni kama yanatoka kwenye water dispenser yalivyo ya baridi. Mbeya ni habari ya kusisimua Na kutisha sana
Asante sana mkuuAchukue asali achanganye na karafuu pamoja na kitunguu maji (hicho kitunguu asikikate vipande vidogo vidogo sana na karafuu azitie kwenye asali zikiwa nzima) halafu awe anatumia hiyo asali kijiko kimoja cha chai mara 3 kwa siku,baada ya wiki moja ataona mabadiliko kwa uwezo wa Mungu.