Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
Mimi nina ndugu yangu katokea jijini Dar kaja kuniona jijini mbeya lakini toka amefika baada tu yakukaa siku nne yalimuanza mafua mazito wakati mwingine ya maji maji pia kifua kina mbana na kikohozi hakiishi.
Tumeenda hospitali kucheki afya tumekuta hana tatizo dawa nyingi tumetumia ila wapi yote ayo ilikuwa ni kwa ushauri wa madaktari na wataalam wa afya Sasa imefikia hatua anakohoa usiku mzima mpaka mbavu zinauma,pua hazipitishi hewa na anashindwa kupumua anahangaika ufanyeje
Asante.